Gorgoni wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Gorgoni katika kanisa kuu la Minden.

Gorgoni wa Roma (alifariki mjini Roma, karne ya 3 au mwanzo wa karne ya 4) alikuwa Mkristo aliyeuawa kwa imani yake[1].

Papa Damas I alitunga kishairi mistari michache kwa heshima yake[2]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 9 Septemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91951
  2. Epigram 24: Martyris hic tumulus magno sub vertice montis Gorgonium retinet, servat qui altaria Christi. hic, quicumque venit, sanctorum limina quaerat, inveniet vicina in sede habitare beatos, ad caelum pariter pietas quos vexit euntes. English translation: This martyr's tomb beneath a great hilltop holds Gorgonius, guardian of the altars of Christ. Whoever comes to seek here the thresholds of the saints will find that in the nearby dwelling abide the blessed whom likewise, as they went, piety bore to heaven.
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • (Kifaransa) Monique Goullet, Michel Parisse, Anne Wagner, Sources hagiographiques de l'histoire de Gorze (Xème siècle) : Vie de saint Chrodegang, Panégyrique et Miracles de saint Gorgon, Paris, Picard, 2010. ISBN 978-2-7084-0882-1

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.