Andrea wa Soveral na wenzake
Mandhari
Andrea wa Soveral (São Vicente, 1572 – Cunhau, 16 Julai 1645) alikuwa padri wa Brazil wakati wa ukoloni. Awali alijiunga na shirika la Wajesuiti lakini baadaye aliliacha akabaki mwanajimbo.
Aliuawa kikatili na Waprotestanti pamoja na waumini 69 wakati wa kuadhimisha Misa kanisani[1].
Padri mwingine, Ambrosio Fransisko Ferro, na wenzake 27 waliuawa vilevile tarehe 3 Oktoba mwaka uleule.
Papa Yohane Paulo II aliwatangaza wenye heri tarehe 5 Machi 2000, halafu Papa Fransisko aliwatangaza watakatifu tarehe 15 Oktoba 2017.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 16 Julai[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Blesseds André de Soveral, Ambrósio Francisco Ferro, presbyters, and Mateus Moreira, martyrs, +1645, evangelizo.org, 03 de Outubro de 2011
- Martyrdom of Cunhaú, Blessed Martyrs of Rio Grande do Norte
- Blessed André de Soveral, SJ (1572-1645) Martyr of Rio Grande de Norte Ilihifadhiwa 12 Oktoba 2022 kwenye Wayback Machine.
- Błogosławieni Andrzej de Soverela, Ambroży Franciszek Ferro i 28 towarzyszy
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |