Adoni wa Vienne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adoni wa Vienne, O.S.B. (Sens, 800 hivi - Vienne, katika Ufaransa wa leo, 16 Desemba 875) alikuwa mmonaki mwanahistoria na hatimaye askofu mkuu wa Vienne kuanzia mwaka 850 hadi kifo chake[1][2][3][4][5]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Desemba[6].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Charles Louis Richard: Bibliothèque sacrée (Boiste fils ainé, 1822).
  2. René François Rohrbacher, Auguste-Henri Dufour: Histoire universelle de l'Église Catholique, Volume 12 (Gaume Frères, 1857)
  3. Ado's principal works are a martyrology,printed inter al. in Migne, Patrologia latina, cxxiii, pp. 181-420; append, pp. 419-436; and a chronicle, Chronicon sive Breviarium chronicorum de sex mundi aetatibus de Adamo usque ad annum 869. In Migne, cxxiii, pp. 20-138, and Pertz, Monumenta Germaniae Historica ii, pp. 315-323 (excerpts).
  4. Adonis, Chronique universelle (Rome, 1745, in-fol).
  5. Ado wrote also a book on the miracles (Miracula) of Saint Bernard, archbishop of Vienne (9th century), published in the Bollandist Acta Sanctorum; a life or martyrium of Saint Desiderius, bishop of Vienne (d. 608); written about 870 and published in Migne, cxxiii, pp. 435-442; and a life of Saint Theudericus of Vienne, otherwise known as Theudericus of the Dauphinê, abbot of Saint-Chef near Vienne (563), published in Mabillon, Acta Sanct. i, pp. 678-681, Migne, cxxiii, pp. 443-450, and revised in the Bollandist Acta Sanctorum, 29 October, xii, pp. 840-843.
  6. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.