Antoni Maria Zakaria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Antoni Maria.

Antoni Maria Zakaria au kwa Kiitalia Antonio Maria Zaccaria (Cremona, 1502 - Cremona, 5 Julai 1539) alikuwa padri na tabibu kutoka Italia kaskazini.

Alianzisha shirika la Makleri wa Mt. Paulo, maarufu kama Wabarnaba.

Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri tarehe 3 Januari 1890, tena mtakatifu tarehe 15 Mei 1897. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Marcello Landi, La presenza della Summa Theologiae di Tommaso d'Aquino nei primi due Sermoni di Antonio Maria Zaccaria in Barnabiti Studi 20 (2003), pp. 69–81
  • Marcello Landi, Sant'Antonio Maria Zaccaria. Contesto storico-culturale e presenza della Summa Theologiae di san Tommaso d'Aquino nei suoi primi tre sermoni, in Sacra Doctrina. Studi e ricerche n. 52 (3/2006), pp. 46–81

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]