Nenda kwa yaliyomo

Wabarnaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wabarnaba ni jina linalotumika kwa kawaida kuwataja watawa wa shirika la Makleri wa Mt. Paulo (kwa Kilatini Clerici Regulares Sancti Pauli, kifupi B.) ambalo lilianzishwa na mtakatifu Antoni Maria Zakaria na wenzake wawili mwaka 1530 likakubalika mwaka 1533.

Watakatifu wengine wa shirika hilo ni Aleksanda Sauli na Fransisko Bianchi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.