Nenda kwa yaliyomo

Ermia wa Gumenek

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ermia wa Gumenek (alifariki Gumenek, Ponto, Uturuki wa leo, karne ya 2 au ya 3) alikuwa askari aliyeuawa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Mei[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.