Nenda kwa yaliyomo

Petro Esqueda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha halisi ya Mt. Petro Esqueda.

Petro Esqueda (kwa Kihispania Pedro Esqueda Ramirez, San Juan de los Lagos, Mexico, 29 Aprili 1887 - Teocaltitlán, 22 Novemba 1927) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko aliyetupwa gerezani kwa sababu ya upadri wake hadi alipouawa kwa kupigwa risasi nyingi wakati wa Vita vya Wakristero[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[2]:

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/90120
  2. "List of San Cristobal and companions, St. Cristobal Magallanes and Companions Church, Mission, Texas". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-03-24. Iliwekwa mnamo 2020-11-21.
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.