Nenda kwa yaliyomo

Trankwilino Ubiarco

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Tranquilino Ubiarco Robles)
Picha halisi ya Mt. Trankwilino.

Trankwilino Ubiarco (jina kamili kwa Kihispania Tranquilino Ubiarco Robles; Zapotlan el Grande, Jalisco, Mexico, 8 Julai 1899 - Tepatitlan, Jalisco, 5 Oktoba 1928) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero[1].

Kutokana na dhuluma dhidi ya Kanisa, alitundikwa mtini kwa sababu ya kuendelea kwa ari kutimiza majukumu yake ya kichungaji[2].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[3]:

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei ila ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://catholicsaints.info/saint-tranquilino-ubiarco-robles/
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/90135
  3. "List of San Cristobal and companions, St. Cristobal Magallanes and Companions Church, Mission, Texas". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-03-24. Iliwekwa mnamo 2020-04-13.
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.