Kristofa Magallanes
Mandhari


Kristofa Magallanes (kwa Kihispania Cristóbal Magallanes Jara, Totatiche, Jalisco, Mexico, 30 Julai 1869 - Colotlán, Jalisco, 25 Mei 1927) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero kutokana na chuki dhidi ya Kristo Mfalme na Kanisa lake [1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[2]:
- Román Adame Rosales (1859-1928)
- Rodrigo Aguilar Alemán (1875-1927)
- Julio Álvarez Mendoza (1866-1927)
- Luis Batis Sáinz (1870-1926)
- Agustín Caloca Cortés (1898-1927)
- Mateo Correa Magallanes (1866-1927)
- Atilano Cruz Alvarado (1901-1928)
- Miguel De La Mora (1874-1927)
- Pedro Esqueda Ramirez (1897-1927)
- Margarito Flores Garcia (1899-1927)
- José Isabel Flores Varela (1866-1927)
- David Galván Bermudes (1882-1915)
- Salvador Lara Puente (1905-1926)
- Pedro de Jesús Maldonado (1892–1937)
- Jesús Méndez Montoya (1880-1928)
- Manuel Morales (1898-1926)
- Justino Orona Madrigal (1877-1928)
- Sabas Reyes Salazar (1879-1927)
- José María Robles Hurtado (1888-1927)
- David Roldán Lara (1907-1926)
- Toribio Romo González (1900-1928)
- Jenaro Sánchez Delgadillo (1886-1927)
- Tranquilino Ubiarco Robles (1889-1928)
- David Uribe Velasco (1888-1927)
Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/90018
- ↑ "List of San Cristobal and companions, St. Cristobal Magallanes and Companions Church, Mission, Texas". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-03-24. Iliwekwa mnamo 2016-03-18.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Biography of Cristóbal (Christopher) Magallanes Jara Ilihifadhiwa 24 Machi 2015 kwenye Wayback Machine.
- Genealogy of Cristóbal Magallanes Jara Ilihifadhiwa 16 Februari 2012 kwenye Wayback Machine.
- Baptism Record of Cristobal Magallanes Jara
- Homily of Pope John Paul II from Canonization Mass
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |