Klinio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Klinio (alifariki karibu na Akwino, Lazio, Italia, 1030 hivi) alikuwa mmonaki kutoka Ugiriki aliyefikia kuwa abati wa monasteri wa Kibasili alipokuja kufariki[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Machi[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.