Leovigildi na Kristofa
Mandhari
Leovigildi na Kristofa (walifariki Cordoba, Hispania, 20 Agosti 852) walikuwa wamonaki wa Cordoba waliouawa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu walijitokeza kuungama hadharani imani yao ya Kikristo [1].
Taarifa zao ziliandikwa na Eulogi wa Kordoba[2] [3].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 20 Agosti[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/67010
- ↑ Latin writings of Eulogius pdf downloads at documentacatholicaomnia.eu
- ↑ Complete Works of Eulogius of Cordoba English translations of Eulogius' writings.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Tolan, John, Medieval Christian Perceptions of Islam, New York: Routledge, 2000. ISBN|0-8153-1426-4
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |