Juliana wa Nikomedia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Juliana.
Sanamu ya Mt. Juliana huko Heidelberg, Ujerumani.

Juliana wa Nikomedia anasemekana kuwa Mkristo aliyefia dini yake katika dhuluma ya kaisari Diocletian mwaka 304 akiwa na umri wa miaka 18 hivi[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Februari au 21 Desemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

  • Mombritius, Sanctuarium, II, fol. 41 v.-43 v.;
  • Acta SS., FEB., II, 808 sqq.;
  • J. P. Migne, P.G. CXIV, 1437–52;
  • Bibliotheca Hagiographica Latina, I, 670 sq.; Bibl. hagiogr. graeca (2nd. ed.), 134;
  • Nilles, Kalendarium manuale, I (2nd ed., Innsbruck, 1896), 359;
  • Mazocchi, In vetus S. Neapolitanae ecclesiae Kalendarum commentarius, I (Naples, 1744), 556-9;
  • Oswald Cockayne, St. Juliana (London, 1872)
  • Vita di S. Giuliana (Novara, 1889);
  • Oskar Backhaus, Ueber die Quelle der mittelenglischen Legende der hl. Juliana und ihr Verhaltnis zu Cynewulfs Juliana (Halle, 1899).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juliana wa Nikomedia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.