Nenda kwa yaliyomo

Gilbati wa Caithness

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gilbati wa Caithness (akifariki Caithness, Uskoti, 1 Aprili 1244 au 1245) alikuwa kwa miaka zaidi ya 20 askofu mwenye juhudi.

Alijenga kanisa kuu huko Dornoch na makazi kwa ajili ya fukara.

Karibu na kufa aliagiza watu wafuate alichotekeleza mwenyewe maishani mwake: kutomtendea baya mtu yeyote, kuvumilia adhabu za Mungu na kutomdhuru yeyote[1].

Anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 1 Aprili[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.