Titus Brandsma
Mandhari
Titus Brandsma, O.Carm. (jina la kuzaliwa: Anno Sjoerd Brandsma; Oegeklooster, Friesland, Uholanzi, 23 Februari 1881 [1] – Dachau, Bavaria, Ujerumani, 26 Julai 1942) alikuwa padri Mkarmeli aliyefungwa katika kambi ya maangamizi ya Wanazi ambapo alivumilia kwa utulivu aina zote za maumivu na dharau ili kutetea Kanisa na kulinda heshima ya binadamu, akitoa mifano bora ya upendo kwa wafungwa wenzake na kwa watesi wao wenyewe [2]. Hatimaye alichomwa sindano ya sumu [3].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 3 Novemba 1985, na Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 15 Mei 2022[4].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[5].
Maandishi yake
[hariri | hariri chanzo]- Brandsma, Titus. Carmelite Mysticism Historical Sketches. Darien, IL: Carmelite Press, 2002.
- Brandsma, Titus, and Albert Servaes. Ecce Homo: Schouwen van de weg van liefde/Contemplating the Way of Love. Edited by Jos Huls. Leuven: Peeters, 2003.
- Brandsma, Titus. "Why do the Dutch people, especially the Catholic people, resist the N.S.B.?" (1942) Translated from Dutch by Susan Verkerk-Wheatley / Anne-Marie Bos.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Rees, Joseph (1971). Titus Brandsma: A Modern Martyr. London: Sidgwick and Jackson. ku. 15–16.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/90047
- ↑ "Titus Brandsma: Journalist, martyr, saint of the 20th Century - Vatican News". www.vaticannews.va. 14 Mei 2022. Iliwekwa mnamo 28 Machi 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Pope canonizes Dutch priest, professor Titus Brandsma". NL Times (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-16.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Blessed Titus Bransdma (leaflet): The Friars, Aylesford, Kent, UK.
- Clarke, Hugh. Titus Brandsma (Pamphlet). London: Catholic Truth Society, 1985.
- Dölle, Constant. Encountering God in the Abyss: Titus Brandsma's Spiritual Journey. Translated by John Vriend. Leuven: Peeters, 2002.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Carmelite Mysticism Historical Sketches by Titus Brandsma (pdf) Archived 14 Mei 2021 at the Wayback Machine
- Carmelite Websites with Information on Titus Brandsma
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |