Sindano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sindano inaweza kutafsiriwa kama ifuatavyo:

  • Mchele sindano ni aina ya mchele mwembamba.
  • Embe sindano ni aina mojawapo ya embe dogo na jembamba.
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.