Romariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Romariki (alifariki Remiremont, leo nchini Ufaransa, 653) alikuwa mkabaila aliyeishi ikulu, lakini baadaye akawa mmonaki padri aliyeanzisha pamoja na Amato wa Habend monasteri dabo huko Hamend [1].

Alitangazwa na Papa Leo IX kuwa mtakatifu tarehe 3 Desemba 1049.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Desemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • (Kiingereza) Alban Butler's lives of the saints, edited, revised and supplemented by Thurston and Attwater. Christian Classics, Westminster, Maryland.
  • (Kiitalia) Dio è corazza dei forti. Testi del cristianesimo celtico (VI-X sec.). Rimini, Il Cerchio, 1998.
  • (Kiitalia) Archivum Bobiense Rivista annuale degli Archivi storici Bobiensi (1979-2008). Bobbio
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.