Bruno wa Querfurt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mchoro wa ukutani ukionyesha kifodini cha Mt. Bruno (kwa kukatwa kichwa).

Bruno wa Querfurt, O.S.B.Cam. (Querfurt, leo katika Saxony-Anhalt, Ujerumani, 974 hivi – 14 Februari 1009), alikuwa mmonaki[1], askofu, mmisionari na hatimaye mfiadini katika Ulaya mashariki (kati ya Lituania na Ukraina).

Tangu kale Bruno na wenzake wameheshimiwa kama watakatifu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1.  One or more of the preceding sentences incorporates text from a publication now in the public domainMeier, Gabriel (1908). "St. Bruno of Querfurt". In Herbermann, Charles. Catholic Encyclopedia. 3. Robert Appleton Company. http://www.newadvent.org/cathen/03018a.htm.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bruno wa Querfurt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.