Camaldoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kanisa la "Eremo" ("Makao ya upwekeni") ya Camaldoli

Camaldoli ni monasteri muhimu katika eneo la msitu la kijiji cha Poppi, katika mkoa wa Toscana, Italia.

Ndiyo asili ya tawi la Wakamaldoli wa wamonaki Wabenedikto.

Ilianzishwa mwaka 1023 hivi na Romwald abati kwa ruhusa ya askofu Tedaldo wa Arezzo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]