Petro Orseolo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Petro Orseolo, Venezia, Italia.

Petro I Orseolo, O.S.B. Cam. (928987) alikuwa mtawala wa Venice, Italia, tangu mwaka 976 hadi 978.

Hapo alijiuzulu na kwenda kujiunga na monasteri kwenye milima ya Pirenei. Baadaye aliishi kama mkaapweke sehemu ya jirani.

Askofu Arnulfo wa Vic alimtangaza mwenye heri mwaka 1027, halafu Papa Klementi XII alimtangaza mtakatifu mwaka 1731.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Januari[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • Peter Urseolus at the Catholic Encyclopedia
  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN|0-14-051312-4.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.