Nenda kwa yaliyomo

Lea wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Lea.

Lea wa Roma (alifariki Ostia, Roma, Italia, 384 hivi[1]) alikuwa mwanamke Mkristo wa mmojawapo kati ya koo maarufu zaidi za mji huo.

Baada ya kufiwa mumewe alijitosa katika mambo ya dini na kuishi kitawa pamoja na Marsela wa Roma na wanawake wengine kadhaa kwa kuzingatia sala, malipizi na matendo ya huruma. Marsela alimkabidhi kazi ya kulea wasichana[2][3][4].

Jeromu aliandika sifa zake[5].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 22 Machi[6].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Commire, Anne, mhr. (2002). "Lea, St. (d. about 383)". Women in World History: A Biographical Encyclopedia. Waterford, Connecticut: Yorkin Publications. ISBN 0-7876-4074-3. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-02-20. {{cite book}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  2. "Saint Lea of Rome, The Newman Connection". Newmanconnection.com. 2012-03-22. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-06-09. Iliwekwa mnamo 2013-05-01.
    Who will praise the blessed Lea as she deserves? She renounced painting her face and adorning her head with shining pearls. She exchanged her rich attire for sackcloth, and ceased to command others in order to obey all. She dwelt in a corner with a few bits of furniture; she spent her nights in prayer, and instructed her companions through her example rather than through protests and speeches. And she looked forward to her arrival in heaven in order to receive her recompense for the virtues which she practiced on earth. We must not allow … money to weigh us down, or lean upon the staff of worldly power. We must not seek to possess both Christ and the world. No; things eternal must take the place of things transitory; and since, physically speaking, we daily anticipate death, if we wish for immortality we must realize that we are but mortal.
  3. [1]
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/46500
  5. "St. Lea". Catholic News Agency. Catholicnewsagency.com. 2013-03-22. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-26. Iliwekwa mnamo 2013-05-01.
  6. Martyrologium Romanum
  • Monks of Ramsgate.ea Book of Saints, 1921.. CatholicSaints.Info. 4 November 2014. Web. 12 January 2018.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.