Nenda kwa yaliyomo

Leobardi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leobardi (Alvergne, karne ya 6 - Tours, Neustria, leo nchini Ufaransa, 593 hivi[1]) alikuwa mkaapweke katika chumba kidogo karibu na monasteri ya Marmoutier. Alijulikana kwa toba na unyenyekevu wake[2].

Gregori wa Tours anasimulia habari zake kati ya watu 20 aliowaona kuwa watakatifu[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 18 Machi[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.