Tours

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sehemu ya mji wa Tours
Tours

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Ufaransa" does not exist.Mahali pa mji wa Tours katika Ufaransa

Majiranukta: 47°23′37″N 0°41′21″E / 47.39361°N 0.68917°E / 47.39361; 0.68917
Nchi Ufaransa
Mkoa Centre
Wilaya Indre-et-Loire
Idadi ya wakazi
 - 136,942
Tovuti: www.tours.fr

Tours ni mji wa Ufaransa ya kati mwenye wakazi 137,000. Uko kando la mto Loire.

Mji unajulikana kihistoria kutokana na askofu Martin wa Tours (mnamo 370) anayekumbukwa kama mtakatifu katika kanisa katoliki.

Mwaka 732 mfalme wa Wafranki Karolo Martell alishinda jeshi la Waarabu katika mapigano ya Tours na Poitiers na kuzuia uenezaji wa Uislamu katika Ulaya ya Magharibi.

Flag France template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tours kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.