Rufo wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Rufo wa Roma (alifariki Roma, Italia, karne ya 1) alikuwa kati ya Wakristo wa kwanza wa jiji hilo.

Mtume Paulo katika Waraka kwa Warumi anamuita mteule wa Bwana akimsalimu pamoja na mama yake (Rom 16:13). Inawezekana alikuwa mtoto wa Simone wa Kirene (Mk 15:21) [1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Novemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. cf. Cornely, "Commentar. in Epist. ad Romanos" (Paris, 1896), 778 sq.
  2. https://www.eltestigofiel.org/index.php?idu=sn_4254
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Saint-stub-icon.jpg Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rufo wa Roma kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.