Sergius Mtakatifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sehemu ya picha takatifu ya karne ya 7 ya Wat. Sergius na Bakus.
Wafiadini Sergius na Bakus katika Menologion ya Basili II.

Sergius alikuwa askari Mkristo wa Dola la Roma aliyefia dini yake mwanzoni mwa karne ya 4 huko Syria[1] .

Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Makanisa ya Kiorthodoksi na ya Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake inaadhimishwa 7 Oktoba pamoja na rafiki yake Bakus.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. الشهيدان سركيس وباخوس، مطرانية حلب للسريان الأرثوذكس، 30 نوفمبر 2011.
  2. Woods, David (2000). "The Origin of the Cult of SS. Sergius and Bacchus". From The Military Martyrs. Retrieved June 25, 2009.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-14-051312-4Script error: No such module "check isxn"..
  • E. Key Fowden, The Barbarian Plain: Saint Sergius between Rome and Iran, The Transformation of the Classical Heritage 28 (Berkeley, 1999).
  • D. Woods, 'The Emperor Julian and the Passion of Sergius and Bacchus', Journal of Early Christian Studies 5 (1997), 335–67.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sergius Mtakatifu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.