Nenda kwa yaliyomo

Bakus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya picha takatifu ya karne ya 7 ya Wat. Sergius na Bakus.
Wafiadini Sergius na Bakus katika Menologion ya Basili II.

Bakus (Kigiriki Βάκχος bak-khos, Kilatini pia Bacchus) alikuwa askari Mkristo wa Dola la Roma aliyefia dini yake mwanzoni mwa karne ya 4 huko Syria[1][2] .

Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Makanisa ya Kiorthodoksi na ya Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu[3].

Sikukuu yake inaadhimishwa 7 Oktoba pamoja na rafiki yake Sergius Mtakatifu[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/91356
  2. الشهيدان سركيس وباخوس Ilihifadhiwa 15 Septemba 2017 kwenye Wayback Machine.، مطرانية حلب للسريان الأرثوذكس، 30 نوفمبر 2011.
  3. Woods, David (2000). "The Origin of the Cult of SS. Sergius and Bacchus". From The Military Martyrs. Retrieved June 25, 2009.
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo ya Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]
  • John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 350
  • Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 304-305

Marejeo ya lugha nyingine

[hariri | hariri chanzo]
  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-14-051312-4.
  • E. Key Fowden, The Barbarian Plain: Saint Sergius between Rome and Iran, The Transformation of the Classical Heritage 28 (Berkeley, 1999).
  • D. Woods, 'The Emperor Julian and the Passion of Sergius and Bacchus', Journal of Early Christian Studies 5 (1997), 335–67.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.