Albano wa Uingereza
Jump to navigation
Jump to search
Albano wa Verulamium (Uingereza) anahesabiwa kuwa Mkristo mfiadini wa kwanza kutoka Britania ya Kirumi.
Makadirio ya kifodini chake yanatofautiana sana: 22 Juni 209, 251 hivi lakini zaidi 304.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe ya kifo chake.
Yaliyomo
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Niblett, Rosalind (2001). Verulamium: The Roman City of St Albans. Tempus Publishing Ltd. ISBN 0-7524-1915-3.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Bede, Ecclesiastical History Book i.vii: the story of Saint Alban
- The Story of Alban on the Cathedral and Abbey Church of St Alban's website
- The Latin Text of Bede's chapter on Alban at www.earlychurchtexts.com – also links to online dictionaries
- An English translation of Bede's chapter on Alban at www.earlychurchtexts.com
![]() |
Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Albano wa Uingereza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |