Menigni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Menigni (alifariki Parion, leo nchini Uturuki, 250 hivi) alikuwa fundirangi Mkristo aliyeteswa kikatili na hatimaye akakatwa kichwa mbele ya mke wake kwa sababu ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Decius baada ya kuchana kishujaa hati ya serikali iliyoagiza dhuluma hiyo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Machi[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.