Kolomba wa Sens

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Kolomba.

Kolomba wa Sens (Santa Colomba de Sanabria, Hispania, 257 - Sens, leo nchini Ufaransa, 273) alikuwa bikira wa Hispania ambaye alihamia Galia akabatizwa na hatimaye akauawa kwa ajili ya imani ya Kikristo [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Desemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Cox, Virginia. (2011). The Prodigious Muse: Women's Writing in Counter-Reformation Italy. Baltimore: Johns Hopkins University Press. ISBN|978-1-4214-0160-7. OCLC 794700422
  • Poska, Allyson M. (2005). Women and Authority in Early Modern Spain: The Peasants of Galicia. Oxford, England: Oxford University Press. ISBN|978-0-19-151474-6. OCLC 253008869
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.