Yohane Wu Wenyin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Yohane Wu Wenyin (Dongertou, 1850 hivi - Dongertou, 8 Julai 1900) alikuwa katekista wa China aliyefia imani ya Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao ya pampoja huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe ni tarehe 8 Julai[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.