Modesti wa Trier
Mandhari
Modesti wa Trier (alifariki 489[1]) alikuwa askofu wa mji huo[2] [3] (leo nchini Ujerumani) wakati Wafaranki walipouteka.
Anaheshimiwa tangu kale kama mtakatifu.[4]
Sikukuu yake huadimishwa tarehe 24 Februari[5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Modestus.
- ↑ Diocese of Trier at GCatholic.org
- ↑ Friedrich Pfeiffer: In Modestus. Biographic-bibliographic church encyclopedia (BBKL). Volume 19, Bautz, Nordhausen 2001. ISBN 3-88309-089-1, p.980-981.
- ↑ St Modestus.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Modest at Patron Saints Index Ilihifadhiwa 5 Mei 2006 kwenye Wayback Machine.
- 24 February saints at St. Patrick's Church Ilihifadhiwa 21 Desemba 2016 kwenye Wayback Machine.
- San Modesto di Treviri, Vescovo
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |