Alberiko Crescitelli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Alberiko Crescitelli, P.I.M.E. (Altavilla Irpina, 30 Juni 1863 - Yentsepien, 21 Julai 1900) alikuwa padri wa Italia aliyefia Ukristo nchini China wakati wa Uasi wa Waboksa.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alberiko Crescitelli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.