Laura wa Mt. Katerina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Laura.

Laura wa Mt. Katerina (jina la awali: Laura Montoya; Jericó, Antioquía, Kolombia, 26 Mei 1874Medellin, 21 Oktoba 1949), alikuwa mtawa mwalimu na mwanzilishi wa shirika la Masista Wamisionari wa Bikira Maria Imakulata na wa Mt. Katerina wa Siena (1914)[1][2][3].

Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 25 Aprili 2004, halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Mei 2013[4], wa kwanza kutoka Kolombia[5].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[6].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Laura Montoya Upegui (1874-1949). Vatican News Services. Iliwekwa mnamo 19 February 2013.
  2. Saint Laura of Saint Catherine of Siena. Saints SQPN (12 February 2013). Iliwekwa mnamo 21 November 2014.
  3. Saint Laura of Saint Catherine of Siena. Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 13 October 2016.
  4. D'Emilio, Frances. Pope Francis gives church hundreds of new saints. Iliwekwa mnamo 12 May 2013.
  5. Colombia's first saint a trailblazing champion of the indigenous. Fox News. Iliwekwa mnamo 21 November 2014.
  6. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.