Agata Yi
Agata Yi (alizaliwa Seoul, Korea Kusini, 1824 – Seoul, Korea Kusini, 9 Januari 1840), alikuwa msichana Mkristo wa Kanisa Katoliki aliyefia dini yake (pamoja na Teresa Kim) kwa kuchinjwa baada ya mateso mengi kuanzia alipokamatwa mwishoni mwa mwaka 1839.
Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri mwaka 1925, halafu tarehe 6 Mei 1984 Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wafiadini wengine 102 wa Korea, wakiwemo Andrea Kim Taegon na Paulo Chong Hasang.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[1], ila ile ya pamoja ni tarehe 20 Septemba.
Mazingira
[hariri | hariri chanzo]Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini[2] kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje (wanashirika wa Paris Foreign Missions Society)[3].
Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Michael Walsh, ed. "Butler's Lives of the Saints" (HarperCollins Publishers: New York, 1991), p. 297.
- ↑ The Liturgy of the Hours Supplement (New York: Catholic Book Publishing Co., 1992, pp. 17–18.
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 327-329
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 282-283
Marejeo ya lugha nyingine
[hariri | hariri chanzo]- The Lives of the 103 Korean Martyr Saints (4): St. Chong Ha-sang Paul (1795-1839) Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine., Catholic Bishops' Conference of Korea Newsletter No. 29 (Winter 1999).==Marejeo ya Kiswahili==
- Attwater, Donald and Catherine Rachel John (1993). The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books. ISBN|0-14-051312-4.
- Dallet, Charles (1874). Histoire de l'Église de Corée, Volume 1. Paris: Librairie Victor Palmé.
- Dallet, Charles (1874). Histoire de l'Église de Corée, Volume 2. Paris: Librairie Victor Palmé.
- Fathers of the London Oratory (1859). The New Glories of the Catholic Church. London: Richardson and Son.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |