Misioni ya Paris

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ishara ya Missions Étrangères de Paris.

Misioni ya Paris ni jumuiya ya wamisionari Wakatoliki kwa ajili ya misheni katika nchi za Asia (kwa Kifaransa: Missions Etrangères de Paris kifupi M.E.P., lat. Societas Parisiensis missionum ad exteras gentes).

Katika utaratibu wa kanisa katoliki ni shirika la maisha ya kitume lenye hadhi ya Kipapa na liko chini ya Idara ya Uinjilishaji wa Mataifa.

Lilianzishwa mwaka 1658 likafanya kazi hasa Asia Mashariki, na hadi sasa ndiko liliko na wamisionari wengi, mbali ya Ufaransa na Madagaska. Duniani kote ni 198, kati yao mapadri 184.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Mantienne, Frédéric (1999) Monseigneur Pigneau de Béhaine (Eglises d'Asie, Série Histoire, ISSN 1275-6865) , ISBN 2-914402-20-1
  • Missions étrangères de Paris. 350 ans au service du Christ 2008 Editeurs Malesherbes Publications, Paris , ISBN 978-2-916828-10-7
  • Les Missions Etrangères. Trois siècles et demi d'histoire et d'aventure en Asie Editions Perrin, 2008, ISBN 978-2-262-02571-7
  • Adrien Launay (1898) Histoire des missions de l'Inde, 5 vols.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Misioni ya Paris kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.