Mkusanyo wa Sheria za Kanisa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mkusanyo wa Sheria za Kanisa (la Kilatini) ni kitabu ambamo zimekusanywa kwa mpango sheria kuu za Kanisa Katoliki zinazohusu waamini wake wa mapokeo ya Kilatini. Kwa lugha asili ya Kilatini unaitwa Codex Iuris Canonici(kifupi CIC).

Historia[hariri | hariri chanzo]

Mkusanyo unaotumika kuanzia Majilio ya mwaka 1983 umeshika nafasi wa ule wa kwanza, uliotolewa mwaka 1917 kwa juhudi za Papa Pius X na halafu Papa Benedikto XV).

Urekebisho wake uliagizwa na Papa Yohane XXIII tarehe 25 Januari 1959 ukashughulikiwa na Papa Paulo VI na Papa Yohane Paulo II kufuatana na Mtaguso wa pili wa Vatikano.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]