Nenda kwa yaliyomo

Gregori wa Auxerre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gregori wa Auxerre (440 hivi -525 hivi) alikuwa askofu wa 13 wa Auxerre katika Ufaransa wa leo.

Aliongoza jimbo hilo kwa miaka 12 unusu akafariki akiwa na umri wa miaka 84[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Desemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/82260
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.