Januari Sanchez Delgadillo
Mandhari
Januari Sanchez Delgadillo (kwa Kihispania Jenaro Sánchez y Delgadillo, Agualele, Zapopan, Jalisco, Mexico, 19 Septemba 1886 - La Loma, Tecolotlan, Jalisco, 17 Januari 1927) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[1]:
Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei ila ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "List of San Cristobal and companions, St. Cristobal Magallanes and Companions Church, Mission, Texas". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-03-24. Iliwekwa mnamo 2020-04-13.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- San Jenaro Sánchex por la Archidiócesis de Puebla
- San Jenaro por Misión Guadalupana
- San Jenaro por Aciprensa
- Homily of Pope John Paul II from Canonization Mass
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |