Yoana Elizabeti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Yoana Elizabeti.

Yoana Elizabeti (jina kamili kwa Kifaransa: Jeanne-Élisabeth-Lucie Bichier des Âges; Château des Âges, Poitou, Ufaransa, 5 Julai 1773Château des Âges, 26 Agosti 1838) ni maarufu kwa kuanzisha pamoja na Andrea Hubati Fournet shirika la kitawa la Masista wa Msalaba, Masista wa Mt. Andrea katika jimbo la Poitiers mwaka 1807[1].

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki: Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri tarehe 13 Mei 1934, halafu Papa Pius XII alimtangaza mtakatifu tarehe 6 Julai 1947.

Sikukuu yake imehamishiwa tarehe 26 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Having reached a high number in membership of some 3,100 at the start of the 20th century, with 430 houses, today they number about 600 members. They currently serve or have served around the globe in France, Spain, Italy, Hungary, Belgium, Argentina, Brazil, Canada, Uruguay, the Democratic Republic of the Congo, Burkina Faso, Ivory Coast, China and Thailand.
  2. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.