Nenda kwa yaliyomo

Dasio, Zotiko na Kayo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro mdogo katika Menologion of Basil II ukionyesha wafiadini hao.

Dasio, Zotiko na Kayo (walifariki 303) ni Wakristo wa Nikomedia, leo Izmit nchini Uturuki ambao waliuawa kwa kutoswa baharini wamefungiwa mawe makubwa shingoni wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano kwa kusingiziwa kwamba walichoma ikulu yake [1].

Wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka tarehe 21 Oktoba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.