Renato Goupil

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wajesuiti wafiadini wa Amerika Kaskazini.

Renato Goupil, S.J. (Saint-Martin-du-Bois, Anjou, Ufaransa 15 Mei 1608Ossernenon, Marekani, 29 Septemba 1642) alikuwa daktari aliyejiunga na wamisionari Wajesuiti kama bradha akawa Mkristo wa kwanza kuuawa kwa ajili ya imani katika Marekani ya leo[1][1][2].

Alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mwenye heri tarehe 21 Juni 1925, na kuwa mtakatifu tarehe 29 Juni 1930.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[3]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 René Goupil. Dictionary of Canadian Biography Online. University of Toronto/Université Laval. Retrieved 2011-10-26.
  2. Allan Greer, "Colonial Saints: Gender, Race and Hagiography in New France", in The William and Mary Quarterly Third Series, vol. 57, no. 2 (2000): pp. 323–348. p. 333, in JSTOR, accessed 2 March 2015
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  • René Goupil. Dictionary of Canadian Biography Online. University of Toronto/Université Laval
  • [1]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.