Kwinto, Simplisi na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwinto na wenzake thelathini na tano walikuwa Wakristo wa Afrika Kaskazini ambao waliuawa kwa imani yao.

Kwinto alifia dini mwaka 251/253. Wengine tunawajua kwa jina tu: Simplisi, Pompini, Paulo, Aritife, Kresto, Digno, Datulo, Felisiani, Musa, Rogasyani, Martiri, Orati, Evasi, Viktoria, Privati, Tino, Salvatori, Sito, Teturo, Vitoriko, Seliano, Setimino, Rustiko, Basa, Lucania, Onorati, Saturnini, Sesiliana, Namfamoni, Felisi, Vinsenti, Aresto, Museo, Sidino na Adiuto.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 18 Desemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.