Beato na Banto
Mandhari

Beato na Banto (walifariki karne ya 7) walikuwa mapadri wakaapweke kwenye milima ya Vosges, katika Ufaransa wa leo, wakati wa askofu Magneriki [1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/64230
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Ekkart Sauser: Beatus und Banthus. In: Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon (BBKL). Band 15, Bautz, Herzberg 1999, ISBN 3-88309-077-8, Sp. 103–104.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |