Magneriki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Magneriki (Trier, leo nchini Ujerumani, 522 hivi - Trier, 25 Julai 596 hivi) alikuwa askofu wa Trier baada ya mwalimu wake Niseti wa Trier[1][2][3], ambaye kwanza alikwenda naye uhamishoni, halafu akamuiga katika ari ya kichungaji [4].

Rafiki yake Gregori wa Tours aliandika juu yake[5]. Pia Venansi Fortunati alimsifu kwa maadili yake[6][7].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi[8] kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Julai[9].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Egon Boshof: Magnerich. In: Neue Deutsche Biographie (NDB). vol.15, (Duncker & Humblot, Berlin 1987), ISBN|3-428-00196-6, p658f.
  2. Franz Xaver Kraus: Magnericus. In: Allgemeine Deutsche Biographie (ADB). vol20, (Duncker & Humblot, Leipzig 1884), p62.
  3. Friedrich Pfeiffer: Magnerich, Bischof von Trier. In: Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon (BBKL). vol 21, (Bautz, Nordhausen, 2003), ISBN|3-88309-110-3, p.881–890.
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/64220
  5. "Medieval Sourcebook: Gregory of Tours: History of the Franks". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-08-14. Iliwekwa mnamo 2021-07-21.
  6. Theodor Schieffer: Die Reichskirche des 5. Jahrhunderts. In: Handbuch der Europäischen Geschichte. Bd. 1, (Stuttgart 1976), p211
  7. Georg Schwaiger, Manfred Heim, Orden und Klöster. (München 2002), p13.
  8. Latin Saints of the Orthodox Patriarchate of Rome
  9. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.