Invensyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Invensyo (pia: Iuventius, Evensi; alifariki Pavia, Italia, 8 Februari 397) alikuwa askofu wa tatu wa mji huo (Italia Kaskazini) kuanzia mwaka 381, alipoteuliwa na Ambrosi, askofu mkuu wa Milano[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni 8 Februari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.