Olaf II Haraldsson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sarafu ya Mt. Olaf miaka 10231028.
Mt. Olaf katika kioo cha rangi dirishani mwa kanisa la Ålesund.

Olaf II Haraldsson (kwa Kinorwe asili: Ólafr Haraldsson; pia "Olave"; 99529 Julai 1030), alikuwa mfalme wa Norway kuanzia mwaka 1015 hadi 1028.

Mwaka mmoja baada ya kuuawa vitani huko Stiklestad, alitangazwa na askofu Grimketel huko Nidaros (Trondheim) kuwa mtakatifu. Jambo hilo lilichangia sana uenezi wa Ukristo nchini, naye akawa kiini cha utambulisho wa taifa[1][2].

Mwaka 1164 Papa Alexander III alithibitisha utakatifu wake.

Pamoja na Wakatoliki na Waorthodoksi[3], baadhi ya Walutheri na Waanglikana pia wanamheshimu.[4]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

 1. Olav den hellige. Kunsthistorie. Iliwekwa mnamo September 1, 2017.
 2. Fredrik Paasche (29 July 1930). Olav Haraldsson. Den norske kirkes 900-årsjubileum. Iliwekwa mnamo September 1, 2017.
 3. Vladimir Moss. Martyr-King Olaf of Norway – A Holy Orthodox Saint of Norway. Iliwekwa mnamo 14 December 2015.
 4. "The Calendar", 2013-10-16. (en-US) 

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 • Ekrem, Inger; Lars Boje Mortensen; Karen Skovgaard-Petersen (2000) Olavslegenden og den Latinske Historieskrivning i 1100-tallets Norge (Museum Tusculanum Press) ISBN 978-87-7289-616-8Script error: No such module "check isxn".
 • Hoftun, Oddgeir (2008) Kristningsprosessens og herskermaktens ikonografi i nordisk middelalder (Oslo) ISBN 978-82-560-1619-8Script error: No such module "check isxn".
 • Hoftun, Oddgeir (200) Stavkirkene – og det norske middelaldersamfunnet (Copenhagen; Borgens Forlag) ISBN 87-21-01977-0Script error: No such module "check isxn".
 • Langslet, Lars Roar; Ødegård, Knut (2011) Olav den hellige. Spor etter helgenkongen (Oslo: Forlaget Press) ISBN 82-7547-402-7Script error: No such module "check isxn".
 • Lidén, Anne (1999) Olav den helige i medeltida bildkonst. Legendmotiv och attribut (Stockholm) ISBN 91-7402-298-9Script error: No such module "check isxn".
 • Myklebus, Morten (1997) Olaf Viking & Saint (Norwegian Council for Cultural Affairs) ISBN 978-82-7876-004-8Script error: No such module "check isxn".
 • Passio Olavi (1970) Lidingssoga og undergjerningane åt den Heilage Olav (Oslo) ISBN 82-521-4397-0Script error: No such module "check isxn".
 • Rumar, Lars (1997) Helgonet i Nidaros: Olavskult och kristnande i Norden (Stockhol) ISBN 91-88366-31-6Script error: No such module "check isxn".

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Olaf II Haraldsson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.