Trondheim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Trondheim
Skyline ya Trondheim

Ngao
Trondheim is located in Norwei
Trondheim
Trondheim
Mahali pa Trondheim katika Norwei
Majiranukta: 63°25′47″N 10°23′36″E / 63.42972°N 10.39333°E / 63.42972; 10.39333
Nchi Norwei
Jimbo Sør-Trøndelag
Serikali
 - Type Manispaa
 - Meya Rita Ottervik (Ap)
Eneo
 -  342.26 km²
 - Bara 324.16 km² 
 - Maji 18.1 km² 
Idadi ya wakazi
 - 171,652
Kamisa kuu la Nidaros (Nidarosdomen).

Trondheim (kisami cha kusini Tråante) ni manispaa na mji wa Sør-Trøndelag, jimbo la Norwei. Mji una wakazi 168 988 (april 2009). Trondheim ni mji mkubwa wa tatu nchini Norwei.

Trondheim ni mji mkuu wa jimbo la Sør-Trøndelag. Vyuo vikuu vya NTNU na Høgskolen i Sør-Trøndelag (HiST) viko Trondheim.

Norway flagmap.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Trondheim kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.