Petro Wang Erman
Mandhari

Petro Wang Erman (Guchengyin, 1871 hivi - Taiyuan, 9 Julai 1900) alikuwa mlei wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Sala ya Kanisa ya Ki-fransisko - Benedictine Publications Ndanda - Peramiho, 1996, uk. 173-176
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |