Nenda kwa yaliyomo

Menelei wa Menat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake katika kanisa la Menat.

Menelei wa Menat (656/660 - Précigné, Anjou, leo nchini Ufaransa - Menat, Auvergne, 720 hivi) alikuwa mmonaki chini ya Teofredo abati baada ya kukimbia arusi aliyoandaliwa na baba yake.

Mwisho, akisaidiana na Saviniani, alifufua monasteri ya Menat akawa abati wake hadi alipofariki[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Julai[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.