Teofredo abati
Mandhari
Teofredo abati (pia: Theodfried, Thictfridus, Théofrid, Théofrède, Théoffroy, Tchaffré, Chaffre, Chaffrè, Chafrès; alifariki Vélay, Akwitania, leo nchini Ufaransa, 752 hivi) alikuwa mmonaki aliyeuawa na Waislamu[1][2][3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Novemba[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Pierre Cubizolles, Le diocèse du Puy-en-Velay : Des origines à nos jours, éditions CREER, 2005, ISBN 2848190302, 9782848190303.
- Charles Louis Richard et Jean Joseph Giraud, Bibliothèque sacrée, ou Dictionnaire universel historique, dogmatique, canonique, géographique et chronologique des sciences ecclésiastiques, éditions Mequignon, 1822.
- Alban Butler, Godescard, Vies des pères des martyrs et des autres principaux saints: tirées des actes originaux et des monuments les plus authentiques, éditions Vanlinthout et Vandenzande, 1832.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |