Onufri mkaapweke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha takatifu ya Mt. Onufri.

Onufri mkaapweke (pia "Nofer"; kwa Kigiriki Ὀνούφριος, labda kutoka Kimisri "Unnufer", yaani "Mwenye furaha daima"[1]) aliishi miaka sitini jangwani katika Misri Kusini katika karne ya 4 au ya 5.

Habari zake zimesimuliwa na Pafnusi wa Tebe tu.[2]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Juni.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Gardiner, Alan H. (1936). "The Egyptian Origin of Some English Personal Names". Journal of the American Oriental Society (American Oriental Society) 56 (2): 189–97. doi:10.2307/594666 . ISSN 0003-0279 .
  2. Peter W. Parshall; Rainer Schoch, National Gallery of Art (U.S.); Origins of European Printmaking (Yale University Press, 2005), 318.

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

  • Alban Butler, Paul Burns; Butler’s Lives of the Saints (Continuum International Publishing Group, 2000)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Onufri mkaapweke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.